Je umepoteza remote ya TV,AC, Satellite na DVR ? tumia (IR Blaster
Sensor) kwenye simu yako ya Android nautaweza kutumia kama remote bila
kuwa na haja ya kuangaika madukani wala kujali Brand ya kifaa. Fata
hatua hizi.
Kuna aina nyingi sana za TV, AC, Satellite na DVR katika matumizi
yetu ya kilasiku.
Maranyingi imekuwa kazi ngumu sana kupata remote
control ya kifaa chako pale inapo potea au kuharibika pia ningumu sana
kukuta remote moja unaweza kuitumia kwenye vifaa vyako vyote nyumbani
bila kujali aina ya kifaa hicho.
Kama wewe nimtumiaji wa simu ya Android ingia Google Play na upakue
App hii na uanze furahia kutumia simu yako kama remote kwa vifaa vyako
vyote ndani ya nyumba yako.
Pakua hapa : IR Universal Remote
Monday, December 5, 2016
Home »
» Je unajua simu yako ya Android inaweza fanya kazi kama remote control kwenye kifaa chochote kile bila kujali aina ya kifaa (TV,AC, Satellite na DVR).
0 comments:
Post a Comment