
Je umepoteza remote ya TV,AC, Satellite na DVR ? tumia (IR Blaster
Sensor) kwenye simu yako ya Android nautaweza kutumia kama remote bila
kuwa na haja ya kuangaika madukani wala kujali Brand ya kifaa. Fata
hatua hizi.
Kuna aina nyingi sana za TV, AC, Satellite na DVR...