Wednesday, November 4, 2015

Una Uwezo Mkubwa Na Akili Za Kufanya Kile Unachotaka, Vitumie

Habari  mpenzi msomaji wa TOPSERVICECARE. Ni matumaini yangu kuwa mpo salama , ni wakati mwingine tena tunakutana kwa ajili ya kuzidi kujifunza na kukumbushana namna sahihi ya kuangalia mambo. Ndugu yangu napenda nikukumbushe kuwa wewe umeumbwa ukiwa na uwezo mkubwa sana...
Share:

ZIJUE FAIDA NNE ZA KUJENGA NYUMBA KWA KUTUMIA RAMANI YA NYUMBA

Ramani ni neno lililozoeleka masikioni mwa watu wengi kwa waliosomea fani hiyo ya ramani na hata kwa watu ambao hawajasomea fani hiyo kutokana na ukweli kwamba ramani hutumika kila siku katika maisha yetu ya kila siku na hakuna uwezekano wa kulipinga hili. Mfano:...
Share:

NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA UJENZI WA NYUMBA ILI USIJE UKAPIGWA STOP WAKATI WA UJENZI WA NYUMBA YAKO

Kutokana na kuongezeka kwa ujenzi holela sehemu za mijini, Serikali iliamua kuandaa sheria ya mipango miji inaitwa “Sheria ya Mipango Miji namba 8 ya mwaka 2007”. Sheria hiyo inaelekeza namna ya upangaji wa miji.  Moja ya maagizo ya sheria hiyo inamtaka kila mtu...
Share:

Saturday, October 31, 2015

Hizi ndizo faida 50 za mazoezi

Moja ya mahitaji matano (5) mhimu ili kuishi baada ya oksijeni, maji, chumvi, na potasiamu; ni Mazoezi. Mazoezi ni mhimu kwa ajili ya afya zaidi ya kuwa na maumbile ya kuvutia (sex body), burudani au kitu kingine chochote. Watu wengi hufuatilia kuhusu chakula tu, hata kama utakula vizuri vipi bila mazoezi mlo haujakamilika,...
Share:

Kitunguu Swaumu hutibu magonjwa 30

MUNGU anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu...
Share:

UFAHAMU WAKATI MZURI WA KUPATA MAWAZO MAPYA NA KUJIONA MWENYEWE

Habari Ndugu: Katika maisha yako umesha chunguza na ukafahamu ni wakati gani huwa unapata mawazo mapya au ni wakati gani huwa unajisikia furaha utulivu wa akili na hatimaye unapata nguvu mpya ya kusonga mbele kwenye maisha yako? Je, ni wakati ukiwa umelala?, ni wakati ukiwa...
Share:

UNAPOIHARIBU NAFSI YAKO

Habari yako ndugu na rafiki yangu; Ninakukaribisha katika tafakari yetu ya leo, ambapo nimekuwa nikikuletea makala hizi kwa lengo la kukusaidia pale unapokwama ili kwa pamoja tusonge mbele katika maisha yetu na lengo langu kubwa ni ili mimi na wewe tufanikiwe. Masomo haya...
Share:
Top Servicare. Powered by Blogger.

Web Design

Popular Posts

INSTAGRAM FEED

@soratemplates

Blog Archive

About