
Huduma ya reli nchini India husafirisha mamilioni ya watu ndani ya nchi.
Na sasa wanaishukuru optic fiber kwa kupeleka mtandao wa internet kila
kona ya nchi.
Kiasi cha Km 45,000 (maili 28,000) za kebo za faiba zimezunguka pembeni
ya reli za India ambazo hutoa huduma...